Romans 3:21-22

21 aLakini sasa, haki itokayo kwa Mungu imedhihirishwa pasipo sheria, ambayo Torati na Manabii wanaishuhudia. 22 bHaki hii itokayo kwa Mungu hupatikana kwa Isa Al-Masihi kwa wote wamwaminio. Kwa maana hapo hakuna tofauti,
Copyright information for SwhKC